loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

Dk Mwinyi ataka mabadiliko sera ya elimu Zanzibar

Rais wa Zanzibar, Dk Hussein amesema kuna haja ya sera ya elimu visiwani humo   kuwa ya kisasa zaidi ili kuendana na mabadiliko mbalimbali yaliyotokea katika sekta hiyo.
 

Dk Mwinyi amebainisha hayo leo alipokutana na wadau wa sekta ya elimu Mjini Unguja.

“Baada ya kusikiliza maoni ya wadau nimebaini sekta ya elimu ina kasoro nyingi na kubwa kabisa ni suala zima la mitaala, siwezi kusema lolote katika hili kwakuwa wadau ndio nyinyi hivyo mkikubali tutakaa chini na kuzungumza ili tubadilishe mitaala na niwahakikishie serikali ipo tayari kufanya hivyo” amesema Dk Mwinyi.

Rais wa Zanzibar, Dk Hussein ...

foto
Mwandishi: Alfred Lukonge

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi