loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

Baba wa Alisson Becker afariki dunia

Baba wa mlinda mlango wa Liverpool, Alisson Becker amefariki dunia baada ya kuzama kwenye ziwa karibu na nyumba yake nchini Brazil.

Taarifa zinaeleza kuwa, Jose Becker (57) alikuwa akiogelea kwenye bwawa karibu na mji wa Rincao do Inferno uliopo nchini humo ambapo pia aliliripotiwa kupotea baada ya kuzama kabla ya kuanza kutafutwa na kupatikana kwa mwili wake.

Idara ya zimamoto ilitumiwa ili kusaidia upatikanaji na ulionekana mwili wa Becker kabla ya saa sita usiku. 

Mtoto wa Becker, ambaye ni ndugu wa Alison, anayejulikana kama Muriel, alitoa taarifa za kifo cha baba yake kupitia ukurasa wa wake wa Twitter.

MAREKANI imejiunga kwenye mazungumzo yanayolenga ...

foto
Mwandishi: RINCAO, BRAZIL

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi