loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

Neymar kuivaa Barcelona

Kocha wa Paris Saint German, Mauricio Pochettino amesema kuwa nyota wake Neymar anaweza kurudi kuikabili Barcelona katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya kutokana na majeraha aliyopata wiki tatu zilizopita kuendelea vizuri.

Pochettino amebainisha kuwa nyota huyo tayari ameshaanza mazoezi ya utimamu wa mwili na kama hali yake ikiendelea kuimarika  atakuwa sehemu ya kikosi hicho ambacho kitacheza mechi hiyo Jumatano iyajo.

 Neymar yuko nje ya uwanja toka Februari 10 mwaka huu alipoumia mguu katika mechi walioibuka na ushindi dhidi ya Caen.

MSHAMBULIAJI wa Simba, Meddie Kagere, anamhofia ...

foto
Mwandishi: PARIS, Ufaransa

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi