loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

Scholes ampa neno Grealish

Nguli wa Manchester United, Paul Scholes amemshauri kiungo wa Aston Villa, Jack Grealish kuwa umefika muda sasa wa kutafuta changamoto mpya katika timu kubwa pindi dirisha kubwa la usajili litakapofunguliwa mwishoni mwa msimu huu.

Kauli hiyo ni kama vile Scholes ameaamua kuipigia debe United,  baada ya miezi kadhaa iliyopita kuhusishwa na usajili wa mchezaji huyo raia wa Uingereza. Villa ilikataa kumuachia kutokana na msimu uliopita timu hiyo kuwa katika mstari wa timu zilizotakiwa kushuka daraja katika Ligi Kuu ya England.

Hadi sasa Grealish ametupia kambani mabao sita na kutoa ‘assist’ 10 katika michezo 22 ya EPL kitendo kilichomuibua Scholes na kumataka mchezaji huyo kuhamia timu kubwa na kupambania nafasi ya kuanza ili watu wauheshimu uwezo wake.

MSHAMBULIAJI wa Simba, Meddie Kagere, anamhofia ...

foto
Mwandishi: MANCHESTER, England

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi