loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

Mrithi wa Maalim Seif ataka uwajibikaji katika utumishi wa umma

MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Othman Masoud Othman amewataka watendaji wa wa ofisi hiyo kuacha kufanya kazi kwa mazoezi.
Makamu huyo ameyasema hayo leo alipokutana na watendaji wa ofisi hiyo ikiwa ni mara ya kwanza baada ya kuripoti rasmi ofisini hapo kuanza majukumu yake.

Othamn Masoud Othamn ambaye aliteuliwa kuchukua nafasi baada ya  Maalim Seif Sharif Hamad kupoteza maisha alipokelewa na watendaji wa ofisi hiyo wakiongozwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa kwanza wa Rais, Saada Mkuya.

foto
Mwandishi: Mwandishi Wetu

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi