loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

 Chelsea, Spurs vita kwa Aguero 

Mshambuliaji wa Manchester City, Sergio Aguero (32) yupo kwenye mazungumzo na klabu ya Chelsea na Tottenham kwa ajili ya kutua katika moja ya klabu hizo msimu ujao.

Manchester City tayari imetangaza kuachana na mshambuliaji huyo mwishoni mwa msimu huu, huku Barcelona ikitajwa kuwa miongoni mwa timu zinazomuhitaji.

Aidha, ripoti imeeleza kuwa muargentina huyo amesema anaridhishwa na kujivunia mafanikio makubwa ndani ya Man City katika miaka hiyo 10 aliyoichezea, ikiwa ni pamoja na kuwa mfungaji bora wa kihistoria klabuni hapo.

K

IUNGO wa Manchester United, Paul Pogba ...

foto
Mwandishi: MANCHESTER, England

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi