loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

15 wafariki katika ajali Kenya

Watu 15 wamefariki dunia nchini Kenya baada ya mabasi mawili kugongana maeneo ya Kizingo katika barabara Kuu ya Malindi kwenda Mombasa. Majeruhi wamepelekwa hospitali ya Malindi

Kamishna Kutswa Olaka wa Kilifi amesema basi la Muhsin lilipoteza uelekeo na kuligonga Gari la Sabaki lililokuwa likitokea Malindi.

BODI ya Kilimo ya Rwanda ...

foto
Mwandishi: MALINDI, Kenya

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi