loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

Mkakati wa kutekeleza ahadi za viongozi wakuu waja

NAIBU Waziri, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), David Silinde amesema serikali inakuja na mkakati wa kuhakikisha wanatekeleza ahadi za viongozi wakuu wa nchi kwa vitendo.

Silinde aliyasema hayo wakati wa kujibu swali la nyongeza la Mbunge wa Nkasi, Aida Khenani (Chadema) aliyetaka kujua ni lini serikali itakamilisha ujenzi barabara iliyoahidiwa na Hayati John Magufuli katika jimbo lake.

Akijibu Silinde amesema wizara yake inakuja na mikakati ya kuhakikisha ahadi za viongozi zinatekelezwa na kusisitiza kuwa ahadi hizo zitatekelezwa kwa vitenda.

SERIKALI inakusudia kurejesha mfumo wa maendeleo ya sanaa ...

foto
Mwandishi: Mwandishi Wetu, Dodoma

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi