loader
Dstv Habarileo  Mobile
Shule za Sekondari 1000 kujengwa nchini

Shule za Sekondari 1000 kujengwa nchini

SERIKALI inakusudia kujenga shule za sekondari 1,000 nchi nzima ili kuweza kutoa fursa ya elimu kwa watoto kwneye kila kata
Hayo yamebainishwa na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), David Silinde wakati akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Mbagala, Abdalla Chaurembo (CCM).

Chaurembo aliuliza kwa kuwa sera ya serikali ni kuwa na shule za sekondari katika kila kata nchini, hivyo akataka kujua mipango  ya serikali katika kujenga sekondari hizo katika kata zake za Mbagala, Kilungule na Kibonde Maji.

Akijibu swali hilo, Silinde alisema serikali itajenga shule za sekondari 1,000 katika kata zote nchini zikiwemo na kata za Jimbo la Mbagala.

https://www.apps.tsn.go.tz/public/uploads/f8eb14f0939a09657e3cd5e488f6b0b4.jpg

RAIS wa Zanzibar,  Dk Hussein Mwinyi amesema wakati umefika kwa ...

foto
Mwandishi: Alfred Lasteki, Dodoma

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi