loader
Dstv Habarileo  Mobile
Msanii Wizkid kuja na wimbo mpya baada ya 'Made in Lagos'

Msanii Wizkid kuja na wimbo mpya baada ya 'Made in Lagos'

Mwanamuziki Wizkid wa Nigeria, ameahidi kuja na wimbo mpya baada ya album yake ya ‘’made in lagos’’ kufanya vyema sokoni.

Kupitia akaunti yake ya instagram, Wizkid amewaahidi mashabiki wake kuachia wimbo mpya ndani ya siku saba.

Wimbo huo umeandaliwa na mtayarishaji P-Priime(19), ambaye ametengeneza midundo ya wasanii kama Fireboy, Cuppy, Peruzzi na Zlatan.

Album ya nne ya ‘’ Made In Lagos’’ya nyota huyo wa muziki Nigeria imekua album iliofuatiliwa zaidi katika mtandao wa Spotify.

Pia wimbo wa ‘’Essence’’ aliomshirikisha msanii Tems umekuwa miongoni mwa nyimbo zenye mashabiki wengi zaidi zaidi ndani na nje ya Nigeria.

https://apps.tsn.go.tz/public/uploads/07b14231f7527020d7e0196127e1ff8f.png

OLE Gunnar Solskjaer amesema, kuwasili kwa ...

foto
Mwandishi: PULSETODAY

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi