loader
Dstv Habarileo  Mobile
Dk Gwajima atamani Wizara ya Afya kuwa ya mfano

Dk Gwajima atamani Wizara ya Afya kuwa ya mfano

VIONGOZI  wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto wametakiwa kuwa na utaratibu wa vikao kila baada ya miezi mitatu pamoja na mawaziri wao kwa lengo la kujadili mafanikio na changamoto na kuziwekea mpango wa pamoja wa kuzipatia majibu.

Rai hiyo imetolewa leo mjini Dodoma na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dk. Dorothy Gwajima , wakati wa kikao chake na watumishi wa Idara mbili zilizopo Kwenye wizara yake(Afya na Maendeleo ya Jamii)  cha kusikiliza na kutatua changamoto zinazoikabili wizara hiyo zikiwemo za watumishi hao.

Dk Gwajima amesema anatamani kuona wizara hiyo inakuwa ya mfano  katika kutambua na kuzipatia majibu changamoto zinazowakabili watumishi wake na wateja wake hivyo, amewataka wakurugenzi kuweka utaratibu wa kukutana kila baada ya miezi mitatu.

https://www.apps.tsn.go.tz/public/uploads/b59c5fdd263c7691ba43eb65b447ab30.jpg

MKUU wa Chuo cha Uhasibu Arusha ...

foto
Mwandishi: Mwandishi Wetu

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi