loader
Dstv Habarileo  Mobile
Rais Samia ateua wawili, yupo mkurugenzi Tanroads

Rais Samia ateua wawili, yupo mkurugenzi Tanroads

 

RAIS Samia Suluhuamemteua Rogatus Mativila kuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara (Tanroads) kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na PatricK Mfugale aliyefariki dunia mwezi uliopita.

Kabla ya uteuzi huo ulioanza jana, Mativila alikuwa Mkurugenzi wa Barabara, Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi).

Vile vile Samia amemteua Mkurugenzi Mkuu, Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu, Profesa Yunus Mgaya kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya SHirika la Uvuvi (Tafico).

https://apps.tsn.go.tz/public/uploads/6484ab4351f14aea71f76d61aac58889.jpg

WASICHANA waliopata ujauzito katika umri mdogo ...

foto
Mwandishi: Mwandishi Wetu

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi