loader
Dstv Habarileo  Mobile
Waziri Biteko awapongeza Shanta Gold

Waziri Biteko awapongeza Shanta Gold

WAZIRI wa Madini, Doto Biteko amepongeza mgodi wa Dhahabu wa Shanta kwa kutekeleza matakwa kwa Sheria ya Matumizi kwa Jamii husika kwa kipindi cha miaka mitano ya uwekezaji wake katika Wilaya ya Ikungi, Mkoani Singida.

“Tulikuwa na migodi ambayo hata nyama ilitoka South Africa, lakini mgodi ambao mwaka huu tumewapa tuzo ya Local content, huu ndio mgodi ambao asilimia 100 ya walioajiriwa ni watanzania,”ameeleza Biteko.

 

https://apps.tsn.go.tz/public/uploads/02b2eb1a94d81d27b2473829521710e5.jpeg

WASICHANA waliopata ujauzito katika umri mdogo ...

foto
Mwandishi: Na Mwandishi Wetu, Singida

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi