loader
Dstv Habarileo  Mobile
Serikali yasaka masoko ya mpunga, mahindi

Serikali yasaka masoko ya mpunga, mahindi

NAIBU Waziri wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,  Mbarouk Nassoro Mbarouk amesema Timu ya Wizara ya Kilimo inapita katika nchi mbalimbali kutafuta masoko ya mazao ya mahindi na mpunga.

Hivi sasa tumu hiyo ipo kisiwani Commoro na tayari ilishaenda Sudan Kusini kutafuta masoko hayo.

Pia kupitia TanTrade ina utaratibu wa kuwasiliana na balozi mbambali kwa ajili ya kutafuta soko la mazao mbalimbali yakiwemo mahindi na mpunga.

Naibu Waziri Mbarouk alitoa kauli hiyo wakati akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Mbarali, Francis Mtega (CCM) aliyetaka kujua kwani serikali isiunde kikosi maalumu kwenda kutafuta masoko ya mpunga na mahindi nje ya nchi.

https://www.apps.tsn.go.tz/public/uploads/61e70b1107c8570d0dc92b0cf49b90c6.jpg

WATANZANIA wametakiwa kuchangamkia fursa ...

foto
Mwandishi: Mwandishi Wetu

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi