loader
Dstv Habarileo  Mobile
Sensa 2022 kujumuisha makazi

Sensa 2022 kujumuisha makazi

Tanzania imepanga kufanya Sensa ya watu na makazi kwa kuhesabu idadi ya majengo yote yaliyopo nchini ili kufahamu kipimo sahihi cha maendeleo ya Taifa.

Akizungumza katika  uzinduzi wa Mkakati wa Uelimishaji na Uhamasishaji wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022 uliofanyika Uwanja wa Jamhuri Dodoma, Rais Samia alisema licha ya uwepo wa tozo ya makazi, lakini lengo la Serikali  ni kujua anwani za makazi, idadi ya nyumba na aina ya nyumba zilizopo.

“Anwani za makazi zitachochea kujua nani ni nani, yuko wapi na anahitaji huduma gani na pale tunapotoa huduma tuweze kujua tunaweza kumpata hapa, mikopo ikitoka tujue tutampata hapa na asipolipa pahali pake ni hapa,” alisema Rais Samia.

https://www.apps.tsn.go.tz/public/uploads/22ca774e481d452411452cc9bd3c7099.jpg

WASICHANA waliopata ujauzito katika umri mdogo ...

foto
Mwandishi: Na Rahimu Fadhili

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi