loader
Dstv Habarileo  Mobile
CCBRT kupima macho bure Temeke

CCBRT kupima macho bure Temeke

HOSPITALI ya CCBRT kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi wanatoa  huduma ya kupima macho bure kwa wakazi wa Temeke na maeneo mengine ya Jiji la Dar es Salaam.

Huduma hiyo imeanza kutolewa leo katika Hospitali ya Polisi Kilwa Road ikiwa ni kuelekea katika maadhimisho ya siku ya macho duniani itakayofanyika kesho kutwa Alhamisi.

Pichani ni daktari wa bingwa wa Macho, Joseph Sungura kutoka Hospitali ya CCBRT akimpima macho Katibu Tarafa wa Chang’ombe, Sadath Mtware.

https://www.apps.tsn.go.tz/public/uploads/b7fdd5f51e6ae231b60e73039c04e41e.JPG

CHAMA cha Wafanyakazi wa Serikali za ...

foto
Mwandishi: Mwandishi Wetu

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi