loader
KCMC kuanza kutoa huduma za moyo

KCMC kuanza kutoa huduma za moyo

HOSPITALI ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini KCMC ipo mbioni kuanzisha kitengo cha Moyo na tayari ujenzi umeshaanza na wataalamu wameshapelekwa mafunzo.

Hayo yamesemwa na Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) na Mkuu wa Dayosisi ya Kaskazini Dk Fredrick Shoo,

Amesema ujenzi wa wa kitengo hicho cha moyo  hadi  kukamilika kwake utagharimu sh bilioini 16  ambazo zinafadhiliwa na shirika la Msamaria Mwema, ambalo ni shirika la kitanzania lililoanzishwa kwa lengo la kuendeleza jumui na taasisi za dini.

“Tunatarajia watanzania wenye mapenzi mema watachangia, hii itasaidia ujenzi wa kitengo hicho. Kwa miaka minne ijayo…” alisema Dk Shoo

https://www.apps.tsn.go.tz/public/uploads/f5b2389eef47353406d321ccce7ab24c.jpg

JESHI la Polisi Mkoa wa Mara linamshikilia Michael ...

foto
Mwandishi: Mwandishi Wetu

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi