loader
Kamati bunge la bajeti yadhuru TCRA

Kamati bunge la bajeti yadhuru TCRA

MWENYEKITI wa Kamati ya Bunge la Bajeti, Daniel Baran Sillo, akipokea maelezo ya ukaribisho kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Dk Jones Killimbe, mara baada ya Ujumbe wa Kamati hiyo kuzuru TCRA kukagua masuala mbalimbali ya mawasiliano ikiwemo usimamizi wa Mfumo wa Usimamizi wa Mawasiliano ya Simu (TTMS-Telecommunications Traffic Monitoring System).

Kamati hiyo ilipokelewa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mheshimiwa Dk. Ashatu Kijaji, watendaji wa Wizara na menejimenti ya TCRA ikiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa TCRA Dk Jabiri Bakari.

 

https://www.apps.tsn.go.tz/public/uploads/8d043c6a0430a5d61b06678beb5fa1b3.jpg

JESHI la Polisi Mkoa wa Mara linamshikilia Michael ...

foto
Mwandishi: Mwandishi Wetu

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi