loader
Mfumo wa kuwajibisha watendaji wa serikali kuandaliwa

Mfumo wa kuwajibisha watendaji wa serikali kuandaliwa

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama, amesema miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania, ofisi hiyo imeweza kuandaa mfumo maalum wa kuwawajibisha watendani ndani ya serikali (Dashboard).

Amesema mfumo huo pia unaimarisha uwajibikaji wa pamoja wa serikali katika kutekeleza shughuli mbalimbali ikiwemo uratibu na ufuatailiaji wa utekelezaji wa shughuli za Serikali; utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM, Sera, maagizo ya viongozi wa Kitaifa, Ahadi za Mgombea Urais; na umewezesha upatikanaji wa uhakika wa takwimu sahihi kwa wakati.

https://apps.tsn.go.tz/public/uploads/05403217c1ea2dad48586eb6765465c0.jpg

JESHI la Polisi Mkoa wa Mara linamshikilia Michael ...

foto
Mwandishi: Mwandishi Wetu

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi