loader
Shule 10 Bora Kitaifa hizi hapa

Shule 10 Bora Kitaifa hizi hapa

BARAZA LA Taifa la Mitihani (NECTA), limetangaza matokeo ya kidato cha nne huku wasichana wakiibuka vinara zaidi katika orodha ya wanafunzi 10 bora kitaifa.

Matokeo ya kidato cha nne haya hapa

Katibu Mtendaji wa NECTA, Dk Charles Msonde wakati akitoa taarifa ya matokeo ya darasa la nne, kidato cha pili na kidato cha nne amesema matokeo ya mwaka huu wasichana nane wameingia kwenye orodha ya wanafunzi 10 bora waliofanya vizuri kwenye mtihani wa kidato cha nne uliifanyika Novemba mwaka jana.

Dk Msonde alizitaja  shule 10 bora kitaifa  ni pamoja na Kemebos (Kagera), St. Francis Girls (Mbeya), Waja Boys (Geita), Bright Future Girls (Dar es Salaam) na Bethel Sabs Girls (Iringa).

Shule nyingine ni Maua Seminary (Kilimanjaro), Feza Boys (Dar), Previous Blood (Pwani), Feza Girls (Dar) na Mzumbe (Morogoro).

foto
Mwandishi: Mwandishi Wetu

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi