loader
Mwigizaji tamthilia ya 'Jua Kali' azindua filamu yake ya Mlinzi

Mwigizaji tamthilia ya 'Jua Kali' azindua filamu yake ya Mlinzi

MSANII wa Filamu nchini, Isarito Mwakalindile, maarufu kama 'Luka' kwenye tamthilia ya jua Kali, amezindua rasmi filamu ya 'Mlinzi' iliyoghalimu zaidi ya Sh milioni 20 za kitanzania.

Akizungumza na Habari Leo jijini Dar es Salaam, Luka amesema kuwa niwakati wa kurudisha soko la filamu sehemu yake nasio kubaki na tamthilia.

"Filamu zetu hazijafa bado soko lipo na ushindani utarudi kama zamani, vipaji vipo vingi waongozaji watunzi wa hadithi wapi, watanzania waangalie filamu ya Mlinzi wataona mabadiliko yaliopo."

"Tumetumia takribani miezi miezi sita kuandaa na kuigiza filamu hii, ambayo imeshirikisha watu maarufu watatu, Lukamba, Mc Mbonike na wengine wakiwa ni wasanii chipukizi na bado wamefanya vizuri" amesema Luka

Amesema kuwa kufananishwa na Kaumba anaamini alikuwa na viatu vyake kwa nafasi yake na yey anaviatu vyake pia atafanya kwa nafasi yake.

https://apps.tsn.go.tz/public/uploads/d49728bde5e368bfd6c5dc6e8ded8afd.jpg

MBUNGE wa Kigamboni, Dk Fausitine Ndugulile (CCM) ...

foto
Mwandishi: Na Brighiter Masaki

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi