loader
Uhuru atangaza nyongeza ya asilimia 12 kima cha chini cha mshahara

Uhuru atangaza nyongeza ya asilimia 12 kima cha chini cha mshahara

Rais Uhuru Kenyatta ametangaza ongezeko la asilimia 12 katika kima cha chini kabisa cha mshahara wakati wa maadhimisho ya sherehe ya wafanyakazi, Mei mosi.

Ongezeko hilo la kima cha chini cha mshahara wa kila siku utafikia kati ya Sh230,627.45 na na Sh258, 302.24 kutoka kati ya Sh13, 572.90 na Sh15, 201.64 kwa watu wanaoishi kaunti za Nairobi, Mombasa na Kisumu.

Amesema maamuzi hayo ni jitihada za kuwaepusha Wakenya dhidi ya kupanda kwa gharama ya maisha kunakosababishwa na UVIKO-19 na sababu zingine za kiuchumi.
 

foto
Mwandishi: Na Mwandishi Wetu

Post your comments

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi