ZAIDI ya watu milioni 5.5 wameikimbia Ukraine tangu uvamizi wa Urusi utangazwe Februari 24, Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) limesema.
Takwimu zimekusanywa kutoka kwa vyanzo anuwai, haswa taarifa zilizotolewa na mamlaka kutoka kwa vituo rasmi vya kuvuka mpaka, shirika hilo lilisema Jumatatu.