MOSCOW, Urusi
URUSI imeidungua ndege ya kivita ya Ukraine MiG-29 karibu na Sloviansk, mashariki mwa Ukraine.
Wizara ya ulinzi ya Urusi imesema imeshambulia maeneo 38 ya kijeshi nchini Ukraine, yakiwemo maghala ya risasi na vituo vya udhibiti.

Marekani na Umoja wa mataifa zimelaani vikali mauaji ...