loader
Makatibu wakuu wajadili athari za mafuriko ukanda wa SADC

Makatibu wakuu wajadili athari za mafuriko ukanda wa SADC

KATIBU Mkuu, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Joseph Sokoine ameshiriki mkutano wa kamati ya kudumu katika ngazi ya Makatibu Wakuu wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika (SADC) uliofanyika Ijumaa kwa njia ya mtandao.

Balozi Sokoine alishiriki mkutano huo akiwa katika ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mkutano wa dharura wa Baraza la Mawaziri wa SADC unaotarajiwa kufanyika kwa njia ya mtandao Mei 6, mwaka huu.

Pamoja na masuala mengine, makatibu wakuu wamejadili athari za mafuriko yaliyotokea katika ukanda wa SADC kwa kipindi cha Januari hadi Aprili 2022.

https://www.apps.tsn.go.tz/public/uploads/96d3990beae44dcb479cbc1de8fc5084.jpeg

Marekani na Umoja wa mataifa zimelaani vikali mauaji ...

foto
Mwandishi: Na Mwandishi Wetu

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi