loader
Wizara ya Elimu yaomba kuidhinishiwa trilioni 1.493

Wizara ya Elimu yaomba kuidhinishiwa trilioni 1.493

WIZARA ya Elimu imeomba kuidhinishiwa Sh trilioni 1.493 ili kuiwezesha utekelezaji wa malengo kwa mwaka wa fedha 2022/23,

Akiwasilisha bajeti ya Wizara hiyo leo Mei 10, 2022 Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Adolf Mkenda amesema ili kuwezesha utekelezaji wa malengo kwa mwaka wa fedha 2022/23, Wizara hiyo inahitaji kiasi hicho cha fedha.

Akitoa mchanganuo wa fedha hizo Mkenda amesema  Shilingi Billion 533.4 ni kwa ajili ya matumizi ya kawaida ya Wizara ambapo Shilingi Billion 500.19 ni kwa ajili ya Mishahara na Shilingi Billion 33.26 ni kwa ajili ya matumizi mengineyo.

Amesema Shilingi Billion 54 zinaombwa kwa ajili ya miradi ya maendeleo ambapo Shilingi Billion 778 ni fedha za ndani na Shilingi Billion 181.46 fedha kutoka kwa Washirika wa Maendeleo.

“Mheshimiwa Spika, Tume ya Taifa ya UNESCO  inaomba kuidhinishiwa jumla ya Shilingi Billion 2.7 kwa ajili ya matumizi ya kawaida (Mishahara ni Shilingi Billion.17 na matumizi mengineyo ni Shilingi Billion1 .5.”Amesema Mkenda

https://apps.tsn.go.tz/public/uploads/59c0c70f16466019961cd4345ba97099.jpg

Rais Samia Suluhu Hassan, ametajwa kuwa miongoni ...

foto
Mwandishi: Vicky Kimaro

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi