loader
Wema hataki tattoo ya mwanaume

Wema hataki tattoo ya mwanaume

MSANII wa filamu nchini, Wema Sepetu, amesema hawezi kuchora tattoo ya jina la mwanaume kwenye mwili wake kwa kuwa hakuna wa kumuamini zaidi ya baba yake mzazi.

Wema ameweka wazi kuwa mwanaume pekee aliyemchora kwenye mwili wake ni baba yake mzazi,  marehemu Balozi Issac Sepetu.

"Hakuna kitu ambacho mwanaume anaweza kunifanyia cha ajabu kwake kiasi cha kumchora tattoo, hivyo siwezi kuchora jina la mwanaume yeyote kwenye mwili wangu zaidi ya wazazi au watoto wangu nikibarikiwa na si vinginevyo," amesema.

https://apps.tsn.go.tz/public/uploads/b549591f1443581ccec7c28c531ea33e.jpg

VINARA wa Ligi Kuu, Yanga SC, wanahitaji ...

foto
Mwandishi: Brighiter Masaki

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi