loader
Samia aongoza kikao cha NEC

Samia aongoza kikao cha NEC

MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi (CCM), ambae pia ni  Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Juni 22, 2022 ameongoza kikao cha Halmashauri Kuu (NEC) ya CCM Taifa.

Kikao hicho kimefanyika kwenye ukumbi wa White House, Makao Makuu ya CCM, Dodoma.

 

https://apps.tsn.go.tz/public/uploads/fc6fd2f9afe93dc173d04544f8906c2c.jpg

MKURUNGENZI wa Kampuni ya Prosperity ...

foto
Mwandishi: Mwandishi Wetu

Post your comments

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi