BARAZA la Taifa la Mitihani (NECTA), limetangaza matokeo ya mitihani ya Kidato cha Sita mwaka 2022, ambapo watahiniwa Kumi Bora katika eneo la Lugha na Sanaa ni pamoja na:
1. Hamza Masoud Ngose - Songea Boys (HGK- RUVUMA)
2. Charity Himani Chonza - Zakia Meghji (EGM -GEITA)
3. Zilabella Kahilima Kombwe - Kisimiri (HKL -ARUSHA)
4. Mebo Leo Mgaya - Ahmes (EGM- PWANI)
5. Gerald Ngwaswerya - Tukuyu (EGM - MBEYA)
6. Adbert Venance Boniphace - Kisimiri (HKL - ARUSHA)
7. Abdallah Salum Mtawanyika - Kemebos (HGL - KAGERA)
8. Winfrida J Sugalo - Ahmes (HKL - PWANI)
9. Hassan Luwa Kuruhani - Musoma Secondary (HGL - MARA)
10. Eric Mlay - Dareda (HGL - MANYARA)