loader
Je Zelensky atajipiga 'kitanzi'?

Je Zelensky atajipiga 'kitanzi'?

WANAHARAKATI wamefanikiwa kukusanya saini 25,000 ambazo zinatosha kumuomba Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky kuhalalisha ndoa za jinsia moja, jambo linaloungwa mkono na mataifa ya magharibi ingawa halipendwi na watu wa Ukraine.

Saini hizo zilikusanywa mapema mwezi Juni na sasa, Rais Zelensky anapaswa kuzijibu ikizingatiwa bendera za Ukraine zimekuwa zikipepea kila mahali na kwa kila kundi hususani nchi za magharibi kupinga operesheni ya kijeshi ya Urusi nchini humo.
 

https://www.apps.tsn.go.tz/public/uploads/c007c14c8cd73bfb02a6298bb113a6c5.jpg

RAIS Mstaafu wa Awamu ya ...

foto
Mwandishi: Ukraine

Post your comments

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi