loader
TET  yateta na wadau wa Fasihi

TET yateta na wadau wa Fasihi

TAASISI ya Elimu Tanzania (TET) imekutana na wadau wa Fasihi Andishi Kiswahili na Kiingereza  kwa lengo la kupitia miongozo ya kuchagua vitabu vya fasihi kwa ajili ya kutumika katika shule za sekondari  na vyuo vya ualimu nchini.

Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa Mikutano TET jijini Dar es Salaam kuongozwa na  Mkurugenzi Mkuu Dkt.Aneth Komba.

Komba amesema kuwa miongozo hiyo ambayo  imeandikwa kutokana na umuhimu wa kuwa na vitabu vya fasihi andishi vinavyokidhi mahitaji ya sasa imeandaliwa  na wataalamu bobezi kutoka TET na vyuo vikuu.

“Baada ya kupitia na kuweka maboresho, miongozo hiyo itaendelea na hatua muhimu za uithinishaji ili kuweza kutumika shuleni na vyuoni.”Amesem

https://apps.tsn.go.tz/public/uploads/d2221d795297dfe2b4ff03933e54a445.jpg

Tume Huru ya Uchaguzi na ...

foto
Mwandishi: Mwandishi Wetu

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi