loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

Achinja mkewe, naye ajiua

Tukio hilo limethibitishwa na Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Singida, Geofrey Kamwela ambaye amemtaja mwanamume huyo kuwa ni Ramadhani Abdallah, mkulima na mkazi wa kijiji cha Makale katika kata ya Mitundu, tarafa ya Itigi wilayani Manyoni anayedaiwa kumuua mkewe, Amina Waziri (30).

Katika tukio hilo la Oktoba 20 saa 9.15 alasiri, Kamanda Kamwela alidai kuwa Ramadhani baada ya kuhakikisha kuwa mke wake amekufa, alichukua kamba ya katani na kujitundika kwenye moja ya kenchi ya nyumba yao na kujinyonga hadi kufa.

“Kabla ya kujinyonga, Ramadhani aliacha ujumbe mfupi usemao kuwa amechukua hatua hiyo ya kukatisha maisha yake na mke wake kutokana na mkewe huyo kushirikiana na kaka zake kumuoza binti yake wa kufikia bila ridhaa yake,” alisema Kamanda Kamwela.

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka wananchi ...

foto
Mwandishi: Abby Nkungu, Singida

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi