loader
Dstv Habarileo  Mobile
TPA
Picha

Aonya wanaokwamisha mchakato wa katiba

Alisema baadhi ya wanasiasa wametumia vibaya mchakato huo kwa kuwadanganya watu na kusababisha mchakato huo kushindwa kuendelea kwenye hatua ya awali na kuwataka wale waliogoma warejee bungeni kuendelea ili nchi ipate Katiba nzuri itakayowajali wananchi.

Kasanda aliyasema hayo juzi mjini Kibaha, kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Miembe Saba wilayani Kibaha, Pwani wakati akiwahutubia wakazi wa mji huo na vitongoji vyake kwenye mkesha wa Mwenge.

Aidha alisema kuwa nchi lazima iendeshwe kwa kufuata taratibu, lakini wanasiasa hao wakiwemo viongozi wa vyama vya siasa wamekuwa wakikashifu na pengine kukashifu uwepo wa mbio hizo.

WAZIRI wa Maendeleo ya Nishati na ...

foto
Mwandishi: John Gagarini, Kibaha

Post your comments

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi