loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

Askofu Gadi kumuombea JK apone haraka

Maombi hayo yatafanyika Mapinga, Bagamoyo, karibu na Shule ya Sekondari ya Baobab, mita chache katika barabara inayoelekea TAMCO.

Mwenyekiti wa Huduma hiyo, Askofu Charles Gadi alisema viongozi wa huduma hiyo, watafanya maombi hayo kuanzia leo hadi Rais Kikwete, aliyefanyiwa upasuaji wa tezi dume mwishoni mwa wiki, atakaporejea nchini.

Gadi alisema Watanzania wanaalikwa kumuombea Rais Kikwete hususan siku za mwishoni mwa wiki, ambapo Jumamosi kutakuwa na maombi maalumu ya kumtakia heri Rais.

“Kwa wengine wasioweza kuhudhuria maombi haya, wanatakiwa kushiriki nasi kwa kufunga na kuomba katika maeneo wanayoishi na kwa ajili ya kumuomba Rais ili afya yake iweze kuimarika,” alisema Askofu Gadi.

MKURUGENZI wa Mashitaka nchini, Biswalo Mganga ameidhinisha watuhumiwa wanne waliokamatwa ...

foto
Mwandishi: Theopista Nsanzugwanko

Post your comments

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi