loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

Azam kujiuliza kwa Ashanti leo

Azam ipo nafasi ya pili ikiwa na pointi 37, nyuma ya Yanga inayoongoza msimamo huo kwa pointi 38.

Endapo itashinda mechi ya leo, Azam itarejea kileleni kwani itafikisha pointi 40. Mechi ya leo ni muhimu kwa Ashanti kushinda ili ijinasue kwenye ukanda wa kushuka daraja.

Ipo nafasi ya 12 katika msimamo ikiwa na pointi 14 katika ligi hiyo inayoshirikisha timu 14.

KIUNGO Mshambuliaji wa Simba, ...

foto
Mwandishi: Mwandishi Wetu

Post your comments

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi