loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

Benki ya ACB kufungua tawi jipya Mwanza

Kwa mujibu wa Archard, kufunguliwa kwa tawi hilo ni mwendelezo wa mikakati ya benki hiyo, kuzidi kujitanua kuwafikia Watanzania wengi zaidi.

“Taasisi nyingi za fedha hapa nchini, zimekuwa zikijitahidi kupanua wigo wa huduma zake kwa lengo la kuhakikisha kaulimbiu ya Serikali ya huduma shirikishi za kifedha inatekelezwa kwa dhati,'' alifafanua.

Alisema tangu kuanzishwa hapa nchini, ACB imekuwa mstari wa mbele kuhakikisha Watanzania wengi wanafikiwa, kwani moja ya majukumu yao ni pamoja na kuwafikia watu ambao walikuwa hawafikiwi na taasisi nyingine za kifedha, kutokana na kupungukiwa na sifa za kukopa benki, kama vile hati za nyumba kwa ajili ya dhamana za mikopo yao.

Litakapofunguliwa tawi la Mwanza, litafanya idadi ya matawi ya benki hiyo hapa nchini kufikia 17.

KAMPUNI ya uchimbaji ...

foto
Mwandishi: Mwandishi Wetu

Post your comments

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi