loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

DC ashauri matrekta madogo yasiwe ya kubeba mizigo

Mkuu wa wilaya hiyo, Erasto Sima, alisema hayo jana wakati akikabidhi matrekta manne kwenye vikundi viwili vya Mwakibuga na Mwamondi, vinavyotekeleza mradi wa Kuhifadhi Mazingira ya Ziwa Victoria (LVEMP II) wilayani humo.

Sima alisema moja ya madhumuni makuu ya kuletwa kwa matrekta hayo, ni kusaidia wananchi kulima mashamba yao wakati wa msimu wa kilimo, pamoja kusomba mazao wakati wa mavuno kutoka shambani.

Akisoma taarifa fupi ya msaada huo, Mratibu wa LIVEMP II wilayani hapo, Lazaro Mkama alisema Sh milioni 38 zimetumika kununua matrekta hayo, ambapo kila trekta moja limegharimu Sh milioni 9.5.

RAIS John Pombe Magufuli anaongoza kwenye ...

foto
Mwandishi: Kareny Masasy, Bariadi

Post your comments

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi