loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

Dk. Kigoda ashawishi bidhaa bora

Dk Kigoda aliyasema hayo jana wakati wa uzinduzi wa maonesho ya bidhaa za China yanayofanyika jijini hapa.

“Unaweza ukanunua kahawa kwa mkulima ambayo haijatengenezwa kwa Sh 1,000 lakini ikipelekwa nje ikatengenezwa ikirudishwa inauzwa Sh 10,000 hivyo mapato yetu tunayapeleka nje,” alisema Kigoda.

Aliwataka kuzingatia ubora wa bidhaa wanazozalisha kwani zikienda sokoni zitakuta ushindani.

Alisema kupitia maonesho hayo ni vyema wafanyabiashara wakatumia fursa hiyo kujifunza kupitia China.

Dk Kigoda alitaka urafiki wa Tanzania na China usaidie katika uchumi wa mtu mmoja mmoja na Taifa kwa ujumla.

KAMPUNI ya uchimbaji ...

foto
Mwandishi: Sophia Mwambe

Post your comments

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi