loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

IPTL :Tumejizatiti kuwauzia umeme Tanesco

Katika taarifa yake jana kwa vyombo vya habari, Katibu na Mshauri wa Sheria wa kampuni hiyo, Joseph Makandege alisema kampuni yao ni ya binafsi.

Hata hivyo, alisema kinachoiunganisha na umma ni huduma wanayoitoa ya uuzaji wa umeme ambayo hata hivyo alitaka baadhi ya wanasiasa kutotumia mgongo wake kujiinua kisiasa.

Alisema kuendelea kujadili masuala ya ndani ya uendeshaji, ikiwemo namna ya kuzalisha na kuuza umeme, umiliki na uhalali wa kampuni, uuzaji na ununuzi wa hisa za kampuni ni masuala binafsi ya kampuni.

Taarifa hiyo ilisema kampuni ina sera zake na misingi yake ya uendeshwaji. Aliwataka wananchi wanaotaka kufahamu masuala mbalimbali ya kampuni hiyo ikiwemo umiliki na uzalishaji wa umeme kupata taarifa sahihi kwao.

WASTANI wa bei za nafaka katika masoko mbalimbali nchini zimepungua ...

foto
Mwandishi: Mwandishi Wetu

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi