loader
Dstv Habarileo  Mobile
TPA
Picha

JK kuhudhuria kusimikwa kwa Askofu

Mkuu wa wilaya Kigoma, Ramadhani Maneno akitoa taarifa kwenye kikao cha kamati ya sherehe ya mkoa alisema kuwa Rais Kikwete amethibitisha ushiriki wake katika hafla hiyo inayotarajiwa kufanyika Oktoba 26 mwaka huu.

Naye Mweka Hazina wa jimbo Katoliki Kigoma, Padre Esperius Hamenyande alisema jumla ya wageni 1000 kutoka ndani na nje ya nchi wanatarajiwa kuhudhuria sherehe hizo.

Padre Mlola aliteuliwa Julai 10 Mwaka huu na Baba Mtakatifu Francis kufuatia askofu wa jimbo hilo, Protas Rugambwa kuhamishiwa Rome, Italia kwenye ofisi za Baba Mtakatifu kwa kazi ya Uinjilishaji.

foto
Mwandishi: Fadhili Abdallah, Kigoma

Post your comments

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi