loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

Kampuni yamwaga simu kwa albino

Aidha, jeshi hilo limewaasa wenye ulemavu wa ngozi kuwa karibu na jeshi hilo katika kurahisisha mawasiliano kati yao na Wakuu wa Vituo vilivyoko karibu a makazi yao.

Akizungumza juzi, Kamishina wa Polisi Kanda Maalum, Suleiman Kova alisema pamoja na kwamba haijawahi kutokea tukio lolote la ukatili dhidi ya albino, aliwaomba watu hao kuongeza mawasiliano na jeshi hilo.

Aidha alitoa namba zake za simu ambazo ni 0715- 009 983 na 0756 710 197 na kusema kwamba zitumike na maalbino kutoa taarifa za matukio ya uhalifu dhidi yao.

ABIRIA 80 wakiwemo watalii wameshuka Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa ...

foto
Mwandishi: Mariam Idrissa, SJMC

Post your comments

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi