loader
Picha

Karafuu ya Zanzibar yapanda hadhi

Mazrui alisema hayo wakati alipozungumza na gazeti hili akielezea hatua zilizofikiwa na kuitambua rasmi karafuu ya Zanzibar kimataifa.

Alisema Shirika la Kimataifa la Biashara la Ubunifu wa Bidhaa na Hatimiliki (WIPO) tayari limezitambua karafuu hizo pamoja na ladha yake kwamba ndiyo pekee inayozalishwa Zanzibar.

Alifafanua na kusema hatua hiyo ni faraja kubwa kwa Zanzibar pamoja na wakulima kwa ujumla ambapo itaongeza uwezo wa uzalishaji wa Karafuu na kupata bei nzuri katika soko la dunia.

WANANCHI na wafanyabiashara wa Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa wamefurahia ...

foto
Mwandishi: Khatib Suleiman, Zanzibar

Weka maoni yako

Weka maoni yako

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi