loader
Dstv Habarileo  Mobile
TPA
Picha

Katavi wana uhakika wa kumaliza ujenzi wa maabara

Mkuu wa Mkoa wa Katavi , Dk Rajab Rutengwe alibainisha hayo jana alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake mjini hapa kwamba kati ya shule za sekondari 31 ni shule nne tu ambazo bado hazijakamilisha ujenzi wa vyumba vya maabara.

“Kuchelewa kwa ujenzi wa vyumba vya maabara ya masomo ya sayansi katika shule nne za sekondari ambazo zipo katika Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (MMS) kumetokana na sababu za kiufundi lakini pia taarifa kutoeleweka vizuri ambapo shule hizo kila mojawapo hazijajenga chumba kimoja .“

Mkuu huyo wa mkoa pia aliwataka madiwani , wenyeviti wa halmashauri , wakuu wa wilaya idara zote za Serikali wafanye kazi kama timu wakishirikiana na wananchi kukamilisha ujenzi wa majengo ya maabara na kuhakikisha kuwa maabara zina vifaa.

Mkuu wa wilaya na Arumeru Jerry ...

foto
Mwandishi: Peti Siyame, Mpanda

Post your comments

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi