loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

Kesi dhidi ya mmiliki Hoteli ya Rick Hill yaanza

Hakimu wa Mahakama hiyo, Devotha Kisoka alisema hayo jana baada ya kusikiliza maelezo ya awali yaliyosomwa na Wakili wa Serikali, Nassoro Katuga.

Alisema mahakama itaanza kusikiliza ushahidi wa upande wa mashitaka kuanzia siku hiyo kwa kuwa ni siku, ambayo atakuwa na ratiba nzuri ya usikilizwaji wa kesi hiyo.

Awali, Wakili Katuga alidai kuwa, upelelezi wa kesi hiyo umekamilika na mashahidi wapo tayari hivyo aliomba mahakama ipange tarehe kwa ajili ya kuanza kusikilizwa kwa ushahidi.

Macha, ambaye ni mmiliki wa Hoteli ya Rick Hill, anakabiliwa na mashitaka ya kughushi hati ya umiliki wa kiwanja kilichopo maeneo ya Kigogo, Dar es Salaam pia anadaiwa kughushi mkataba wa mauzo kuonesha Ramadhani Batenga alihamisha umiliki wa kiwanja hicho kwake.

Katika shitaka jingine, Macha ambaye yupo nje kwa dhamana anadaiwa kuwasilisha hati ya kughushi kwa Msajili wa hati.

ABIRIA 80 wakiwemo watalii wameshuka Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa ...

foto
Mwandishi: Mwandishi Wetu

Post your comments

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi