loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

Kocha Kigoma aahidi kutamba ngumi za Mandela

“Ni mara ya kwanza kwa timu ya Mkoa wa Kigoma kushiriki mashindano makubwa kama haya lakini naamini itafanya vema kwani tumwejiandaa vema,” alisema Lesso.

Timu hiyo imeweka kambi maeneo ya Kawe karibu na viwanja vya Tanganyika Parkers ambapo mashindano yatafanyika kabla ya hapo, ilikuwa maeneo ya Mabibo.

Pia alisema wanamshukuru Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Kanali Mstaafu Issa Machibya kuhakikisha wanashiriki katika mashindano haya kwa mara ya kwanza. Timu ina wachezaji 10, watatu wakiwa wanawake.

TIMU ya Ruvu Shooting imeboresha kikosi ...

foto
Mwandishi: Rahel Pallangyo

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi