loader
KUTIA SAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO

KUTIA SAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO

foto
Mwandishi: Ikulu

1 Comments

  • avatar
    Makame Iddi
    27/03/2021

    Tumepoteza kiongozi mahiri tunayo memgi ya kumkumbuka kwa makubwa aliyoyafanya ndani ya muda mfupi. Ni mshtuko mkubwa nilioupata baada ys kusikia kifo chake binafsi sikuamini ila ilibidi nikubaliane na ukweli. Ni pigo kubwa kwetu ila tushikamane tumuenzi ķukamilisha ndoto zake za kuipaisha nchi yetu kutekeleza kwa vitendo ysle aliyodhamiria na kuyatekeleza kwa vitendo. Sisi vijana umetuonyesha wewe ni kiongozi mwalimu mpambanaji mzalemdo wa kweli mtendaji wa kweli kiongozi wa watu. Tumeona mabadiliko makubwa ndani ya muda mfupi wa uongozi wako. Pumzika kwa amani tutakuenzi tutakukumbuka kwa ucheshi wako kwa nasaha zako na kwa maono yako mapana kwa huruma na upendo kwa wa wananchi wako hasa wanyonge

Post your comments

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi