loader
Picha

Mafuta na nishati

Umeme huifadhiwa kwenye betri. Huendesha baadhi ya sehemu za gari kama taa na honi na pia huwezesha mwanga wa kwenye dashibodi.

Fueli ya gari inatengenezwa na mafuta. Mafuta hupatikana ardhini au chini ya bahari.

Iliundwa miaka milioni iliyopita kutokana na mabaki yaliyooza ya wanyama wadogo wa baharini.

Madereva hutumia mwanga kuona usiku na kuyafanya magari mengine yaone unafanya nini.

Jinsi ya kutumia nishati Magari huchoma mafuta kutengeneza nishati, kama ambavyo unakula chakula kukufanya uweze kufanya shughuli zako.

Jinsi magari yanavyotumia nishati, ndivyo fueli inavyochomwa. Magari makubwa na malori hutumia fueli zaidi kuliko magari madogo.

Magari huchoma fueli zaidi ili kwenda haraka au yanapopanda mlima. Upandaji mlima Magari hutumia nishati zaidi yanapopanda mlima kwa sababu yanakwenda kinyume na mvutano.

Mvutano ni nguvu ambayo huvuta kila kitu chini.

Magari huhitaji nishati zaidi yanapopanda kwenda juu kwa sababu nguvu ya mvutano hurudisha nyuma.

Mvutano husababisha urahisi wa magari na wewe mwenyewe kushuka mlima.

HIVI karibuni Wizara ya Nchi Ofi ...

foto
Mwandishi: Mwandishi Wetu

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi