loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

Miembeni yaichapa Malindi

Miamba hiyo ambayo ilionekana kukamiana katika mchezo huo walimaliza dakika 45 za awali kwa kila mmoja kushindwa kuliona lango la mwenzake.

Kipindi cha pili kila upande ulizidi kuliandama lango la mwenzake na Miembeni kupata bao hilo pekee katika dakika ya 46.

Kuingia kwa bao hilo kuliamsha kasi ya mashambulizi kwa Malindi lakini hawakuweza kusawazisha.

Kwa matokeo hayo, Miembeni imefikisha pointi 31 na kuendelea kushika nafasi ya pili katika msimamo wa ligi hiyo inayoongozwa na Polisi yenye pointi 34.

KIUNGO Mshambuliaji wa Simba, ...

foto
Mwandishi: Mwajuma Juma, Zanzibar

Post your comments

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi