loader
Dstv Habarileo  Mobile
TPA
Picha

Mji wa Sirari sasa kupata maji ya uhakika

Tayari kuna mradi wa unaofadhiliwa na Benki ya Afrika ambao unaweka miundombinu ya maji katika mji huo ambao upo katika Wilaya ya Tarime, mkoani Mara upande wa Tanzania.

Wakati huohuo, Halmashauri ya Wilaya ya Tarime inatarajia kutumia kiasi kikubwa cha fedha kuweka mabomba ya kusambaza maji wakazi wa mji huo.

“Mradi unaendelea vizuri na kinachowekwa kwa ufadhili wa benki ya Afrika ni matangi, sasa sisi kama Halmashauri tutatoa pesa ya kutosha kuweka mabomba kwa ajili ya kusambaza maji kwa wananchi,” alisema Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime, Amos Sagara juzi.

foto
Mwandishi: Mugini Jacob, Tarime

Post your comments

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi