loader
Dstv Habarileo  Mobile
TPA
Picha

NBC watangaza washindi wa ‘Weka Upewe’

Mshindi wa kwanza wa bajaji yenye thamani ya Sh milioni 4.5ni Dk Nyagosya Range,ambaye ni mtafiti wa magonjwa ya binadamu mwenye akaunti katika Tawi la Muhimbili jijini hapo.

Pikipiki ya kwanza yenye thamani ya Sh milioni mbili ilichukuliwa naChristopher Kingo kutoka Karatu, Mkoa wa Manyara.

Mwingine aliyepata pikipiki niStella Kivuyo wa Dar es Salam.

Akitangaza washindi hao, Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano cha benki hiyo, Rukia Mtingwa alisema lengo kuu la promosheni ni kuhamasisha Watanzania kuwa na utamaduni wa kujiwekea akiba.

Ili kujiunga na promosheni ya Weka Upewe, mteja anatakiwa kufungua Akaunti ya Malengo kwa kima cha chini cha Sh 50,000 na bila kutoa fedha hadi itimie miezi 12.

KAMPUNI ya Vodacom Tanzania imetangaza ...

foto
Mwandishi: Mwandishi Wetu

Post your comments

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi